ABEE SHEMEJI
AGE…(18+)
SEHEMU YA 2
*******
♥
TANZANIA ARUSHA(Ngulelo) 1999.
“Darling,unajua wewe ni mzuri sana”
“Ahsante baby”
“Nakupenda,naomba usije ukaniumiza”
“Siwezi mpenzi”
Haukuwa utani hata kidogo,ungebahatika kumuona
mwanamke anayesifiwa wallah,usingebisha.Ungekiri
kwamba mwanamke huyo hana kasoro yoyote ile,ni wazi
kabisa Mungu alimpendelea katika uumbaji wake.Rangi
yake haikuwa ya kung’aa, bali maji ya kunde,hakuwa
mwenye macho makubwa wala madogo bali ya wastani
lakini wakati wote yalikuwa yamelegea,midomo yake ndio
usiseme,alikua ana ‘lips’ pana.Zilizofanya mwanamme
yoyote Yule atamani kuzinyonya.Kuongezea hapo,alikuwa
amejaaliwa katika maumbile.Hiyo ndio ilifanya mwanamme
yoyote rijali ageuze shingo yake nyuma, endapo akipita
mbele yake.Ahmed,alikuwa amelala kitandani,anamuangalia
Mpenzi wake jinsi alivyoumbika,mbaya zaidi alikuwa
ametoka kuoga,amevaa kanga moja tena imelowana.Hiyo
ikafanya damu yake ianze kumwenda mbio kwa mara
nyingine.
“Hajrath”
Ahmed,akaita huku akimeza mate ya uchu.Japokuwa
alikuwa ndege ni wake lakini alionekana kuwa na ugwadu
kana kwamba ndio siku yake ya kwanza kukutana naye
kingono!
“Abee Mpenzi”
Hajrath,akaitikia.Namna alivyozungumza ni wazi kabisa
ungedhani ana mapozi ama maringo,kumbe ndivyo
alivyo.Akamuangalia Mpenzi wake aliyekuwa bado yupo
kitandani,amejifunika na shuka hana nguo hata moja.
“Njoo nikwambie kitu”
“Uniambie nini?Huna lolote,najua unachokitaka”
Kwa hali ilivyokuwa na jinsi ambavyo Ahmed,alivyokuwa
akimuangalia Mpenzi wake, ilionekana wazi kabisa kuna
zoezi pevu anataka kulifanya.Hajrath aliligundua hilo, baada
ya kuona shuka alilojifunika Ahmed limetuna kwa
mbele,kama mwanamke mtu mzima akajua ni kitu
gani,anatakiwa kukifanya.Akadondosha kanga chini na
kupanda kitandani,akamsogelea Ahmed midomoni
wakaanza kulana denda.Ilikuwa ni wazi kabisa kila
mtu,alikuwa ana moto kwani walianza kushikana huku na
kule taratibu sana,wakabinuana kitandani huku
wakikwaruzana migongoni.Hajrath,akawekwa chali,akawa
anaangalia juu kwenye paa.Hapohapo,Ahmed,akajisogeza
kidogo na kutoa ulimi wake,akaugusisha kwenye chuchu za
Hajrath.
“Aaaah! Aaaaah! Aaaaah!Mmmh Aasssh Beeeeibiii”
Kilichosikika hapo ni miguno na Hajrath hakuwa anajielewa
tena,zaidi ya kufumba macho na kuvuta vuta mashuka,ni
dhahiri kwamba alikuwa yupo katika dunia nyingine ya huba!
Haukuwa utani hata kidogo kwani Hajrath,aliota mbawa
akajiona yupo juu angani anaviangalia viumbe hai vyote kwa
chini.Hali yake ilikuwa mbaya kabisa,bila kuulizwa akashika
tango la Ahmed na kuliweka ndani ya mgodi
wake,kilichofuata hapo!Mimi nawewe hatujui.
*******
“Oyaa,Tizzo!”
“Nambie”
“Hivi Ahmed,ndio anamkaza Hajrath?”
“Hajrath gani?”
“Leo humjui Hajrath?”
“Namjua ndiyo,inawezekana ninayemfahamu mimi siyo
huyo unayemzungumzia”
“Hajrath,wewe humjui Mzee Baba.Anayechukua Civil
Engineering”
“Si Yule mwenye matako matako makubwa?”
“Ha! Haa! Haaa! Haaaaa!Ndio huyohuyo”
“Sasa unacheka nini?”
“Namna ulivyosema hayo matako,jinsi ulivyoniangalia.Sasa
ndio huyo bwana,leo si nimemkuta anatoka getoni kwa
Ahmed”
“Sio kweli,utakuwa umemfananisha”
“Sasa mimi nisimjue Hajrath,kweeli?”
“Sio bwana”
“Kama hutaki basi,ndio hivyo sasa.Ule mzigo wa Ahmed”
Mazungumzo hayo yaliendelea!Siku hiyo, skendo hiyo ilienea
ya Msichana huyo Hajrath, kuonekana anatoka chumba
alichopanga Ahmed yaani getoni,uvumi huo ukasambaa
kwa kasi kama moshi wa kifuu.
Haikuwezekana hata kidogo kwa mwanafunzi yoyote Yule
kukubali ya kwamba Hajrath,kaonekana ametoka chumba
cha Ahmed,kila mwanafunzi wa chuo hiko cha Makumira
aliyepewa habari hizo alionekana kushtuka na kupigwa na
butwaa la waziwazi.
“Hapana,labda sio yeye.Mimi nakunya kwa mafungu
mafungu hapa mpaka Ngaramtoni”
Jamaa mmoja alisikika akibisha na kuwaambia wenzake,
baada ya kupewa habari hizo ambazo yeye alizichukulia
kama uvumi.
“Sasa unachobisha ni kitu gani?”
“Yule demu,katosa watu kibao hapa chuoni.Alafu ni mgumu
kinoma yaani,sio mrahisi namna hiyo!”
“Watu na nyota zao arifu”
“Embu nenda,mimi nitabisha mpaka kufa kwangu”
Ligi ilikuwa kubwa,bado wanafunzi wa chuo cha Makumira
waliendelea kubisha na wengine waliweka mpaka dau la
pesa!Hakuna mtu yoyote aliyekuwa tayari kukubali kwamba
Hajrath ana mahusiano ya kimapenzi na Ahmed.Mbali na
msichana huyo kuwa mrembo chuoni hapo,kilichomfanya
azidi kuwa wa kipekee ni swala moja tu.Hakuwa kama
wasichana wengine;micharuko, wapenda mabuzi na
madanga!Yeye alikuwa ni wa tofauti kabisa na hata marafiki
zake wa karibu walivyomfuata na kumuuliza kuhusu skendo
hiyo ya kutoka na Ahmed kimapenzi,akajifanya kushtuka.
“Mimi?Ahmed?Ahmed yupi?Nilikuwa kwake?Lini?”
Hajrath,akaonekana kuwa mkali siku hiyo baada ya kuulizwa
swali hilo,hiyo ikafanya marafiki zake wasiendelee
kumuuliza zaidi.
“Alafu nimezisikia hizo habari,sipendi nimesema.Sitaki
kabisa.Mnikome,tusifuatiliane”
“Lakini hatukukuuliza kwa ubaya shoga”
“Ndio,kwani hakuna mada nyingine.Course work
hamjafanya bado kazi kuuliza habari zangu”
Hatimaye wakawa wamekatwa ndimi,licha ya Hajrath
kuendelea kubisha lakini iliendelea kuaminika ya kwamba
yupo kimapenzi na Ahmed, mwanamme aliyekuwa mwaka
wa mwisho katika chuo hicho.Siku hiyo Hajrath alikasirika na
kuondoka eneo hilo lakini huku nyuma alivyokuwa
akitembea alikuwa akitingishika, jambo lililozidi kuwatoa
wanaume udenda,alivyofika hostel ndani ya chumba chake
akafunga mlango na kumtafuta Ahmed hewani.
“Baby mambo”
Akasalimia kwanza,ili kumjulia hali kabla ya kutaka kusema
dhumuni la simu hiyo.
“Poa,vipi?Upo wapi baby?”
“Nipo hostel”
“Alaf baby….”
“Yes baby”
“Kwanini sasa umewatangazia watu kuwa sisi ni wapenzi?”
“Mimi?Lini?”
Ahmed badala ya kujibu swali,akaibua swali likawa swali juu
ya swali.
“Chuo kizima sasa kinajua”
“Mimi sijasema chochote,kwani Darling ni vibaya watu
kujua?”
“Sio vibaya”
“Sasa mbona kama umekasirika?”
“Sijakasirika Darling”
“Kwani unataka mapenzi yetu yawe siri?”
“Ikiwezekana mpenzi”
“Kwanini?”
“Basi tu”
Kuanzia hapo,ukimya ukatawala wa kama sekunde moja
nzima.Ilielekea Ahmed alikuwa akitafakari kitu fulani ndani
ya ubongo wake,picha iliyomjia mbele ni kwamba wenda
Hajrath ana mwanamme mwingine, ndiyo maana alitaka
yeye awekwe kuwa siri.
“Halloo baby”Hajrath,akaita simuni kwa sauti ya chini baada
ya kuona ukimya huo!
“Halloo Honey”
“Nakusikia Hajrath”
“Mbona huongei?”
“Sasa unataka niongee nini?Sina cha kuongea,amua
unavyotaka”
Staili aliyotumia kujibu Ahmed ilimfanya
Hajrath,aumie.Akajitahidi kum-bembeleza lakini swala hilo
halikuwa rahisi,mbaya zaidi simu ilikatwa bila hata yeye
kujielezea vizuri.Angefanyaje?Wakati alikuwa akimpenda
kweli Ahmed,japokuwa walikuwa hata hawajafikisha mwezi
mmoja katika penzi lao.Hapohapo,akafungua mlango na
kutembea kwa hatua za harakaharaka mpaka stendi ya
mabasi. Safari ya kutoka Usariva mpaka Ngulelo,ilimchukua
dakika arobaini na tano nzima,hapo aliteremka kwa kasi na
kuanza kutembea,ilikuwa ni lazima akaonane na
Ahmed,amuweke kitako wazungumze vizuri.
Isingewezekana kwa yeye kupata usingizi siku hiyo hata
kidogo bila ya kuzungumza na Kipenzi cha roho yake,ilikuwa
ni lazima mtima wake uwe mweupe, ndiyo mambo mengine
yaendelee.Akiwa anatembea barabarani alikuwa akiwaza
vitu vingi sana kichwani mwake,hakuelewa ampe sababu
gani Ahmed ili amuelewe kwani kwa wakati huo hakutaka
penzi lake lijulikane kwa mwanafunzi yoyote Yule,mpaka
muda muafaka utakapofika.Mwendo wa mita kama
kumi,akawa ametokea kwenye uwazi mkubwa wenye miti
ya michongoma,akaingia kichochoroni.Mbele yake,akaona
milango ya vyumba tisa vimepangana,akapitiliza mpaka cha
mwisho ambacho Ahmed,ndipo alikuwa
amepanga.Akasimama na kuanza kutafakari.
“Ngo! Ngoo! Ngooo!”
Hatimaye,akagonga!
“Ngo! Ngoo! Ngooo! Ngoooo!”
Akagonga tena kwa mara nyingine baada ya kuona kuna
ukimya umetawala.Akaamua kusubiri kwa kukaa chini,juu ya
kibaraza.Hakutaka kubanduka siku hiyo mpaka azungumze
na Ahmed,amuombe msamahaa japokuwa hakuelewa ni
kosa gani amefanya.Mapenzi aliyokuwa nayo juu ya
mwanamme huyo ilifanya mpaka ajione amefanya kosa la
jinai kumkasirisha, ndiyo maana alikuwa yupo radhi kusubiri
eneo hilo mpaka usiku,ikiwezekana angelala
hapohapo.Kwake yeye ilikuwa potelea mbali.Lisaa
limoja,likawa limekatika kiutani utani akiwa bado
anamsubiri Ahmed arejee,mbaya zaidi alivyomtafuta
hewani simu yake haikupokelewa,akajaribu kutuma meseji
lakini pia hazikujibiwa.
“Ahmed,p’se pokea simu.Natk kuzungumza
nawewe.Nisamehe bebiii”
Hajrath alituma ujumbe huo mfupi pia haukujibiwa,akapiga
simu.Haikupokelewa vilevile!