KISASI CHA DUDU

 🔞

KISASI CHA DUDU.

Age: 18+



ONYO: Humu ndani kuna upuuzi mwingi sana 😂, kuna lugha za kikubwa,  lugha ambazo watoto haziwafai, hata wakubwa wenye ustaarabu haziwafai 😉


SEHEMU YA 01.


Mimi naitwa Sele, napenda sana madem, napenda vibaya mno, ila licha ya tamaa zangu za kupenda chini kuna tatizo lilikuwa linanisumbua, tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume. Ilikuwa kila nikikutana na mwanamke ni lazima nikutane na changamoto zifuatazo; kukojoa mapema, kupiga kimoja, mashine kuwa legelege au kukosa hamu ya tendo. Hata hivyo sikujali wala nini, nilichukulia ni jambo la kawaida tu. Nikipata demu nilipiga kimoja kisha nilisepa, sikutaka kujua kama wananuna au hawanuni, mimi hata nikikojoa kwa sekunde 40 sikujali, na kuna wakati naweza kupiga dem bao 4 lakini kila bao ni baada ya dakika 1; nilijisifia kuwa nina mabao mengi.


Sasa balaa lilianza siku flani hivi, siku hiyo nilipata dem flani hivi kibonge, ana matako makubwa, ni mzuri kinyama. Demu huyo alikuwa ni mke wa mtu, nakumbuka siku namtongoza alinisumbua sana, sio kwamba alinikataa; hapana, bali alisema kuwa mumewe kitandani hajiwezi hivyo basi tangu aolewe amekuwa ni mtu wa kupata shida. Aliniambia kuwa hatoweza kumkubalia kila mwanaume kwa sababu wanaume wenyewe hawajui kusugua kitumbua.


“Unajua nini Sele, mimi napenda sana kusuguliwa; napendwa kugongwa mashine vibaya mno! Mume wangu hicho kitu hakiwezi, yeye ikifika usiku akinipiga kimoja cha sekunde mbili analala, na ndio maana kila siku ugomvi nyumbani hauishi” Aliniambia demu huyo ambaye anaitwa Anna.

“Ina maana ule ugomvi wako na mume wako ni kwa sababu ya kunyanduana?”

“Eeeh! Mimi ukiniacha njiani aisee tutagombana”

“Mh! “ Niliguna nikianza kuogopa

“Ndo nakwambia hivyo, mume wangu mwenyewe licha ya kunioa lakini nimemuwekea tarehe za kunisugua; sitaki awe ananipaka shombo kila siku, kwa wiki nampa mara moja au mbili tu”

“Dah! Mbona tabu!!! Basi nimekuelewa Anna, kwahiyo sasa inakuaje?”

“Mh! Kwahiyo we Sele unataka kunisugua si ndiyo?”

“Ndiyo”

“Sawa mi nimekuelewa, ila kama nilivyokueleza kuwa napenda kutiwa miti, napenda kutiwa dudu, napenda kumwaga maji”

“Hilo halina shida, kwangu mbona utafurahia”

“Kweli Sele? Utanipiga bao ngapi?”

“Kwani we unapenda bao ngapi?”

“Kwakuwa nina nyege sana nitafurahi ukinipiga bao nne au tano za kutosha! Kila bao nikojoe, nakuhakikishia ukinikuna vizuri utakuwa mchepuko wangu, hili tako langu litakuwa lako”

“Kweli? basi twende geto nikakupe vitu”


Tuliondoka moja kwa moja hadi geto, japo nilizoea kupiga bao moja na kutembea lakini siku hiyo nilipanga kutoa kitomb* kikali sana, nilitaka kumfanyia Anna vitu vya ajabu hadi amsahau mumewe. Baada ya kufika tu kwanza nilimfungia mtoto geto kisha mimi mwenyewe nilitoka nje, nilianza kupiga pushups, nilifanya mazoezi ye kegel ili kuongeza nguvu, nilipiga skwash za kutosha, nilivuta pumzi kisha nilienda kuoga. Baada ya kuoga nilienda mgahawani, nilikula ugali wa moto ili nipate nguvu nyingi, niliagiza energy na panaldo nilikunywa vyote, nikiwa mgahawani Anna alinitumia meseji aliniambia nifanye haraka kwa sababu ana hamu sana, pia alitaka twende na muda kwakuwa yeye ni mke wa mtu.


Baada ya kujiweka freshi nilirudi geto kwaajili ya kuanza kazi, nilimkuta mtoto kalala kifudifudi, tako lote lilikuwa juu, dah! Aisee nilimeza mate matamu, nilijilamba midomo kisha nilijisifu moyoni kuwa nimepata demu mkali sana, ni kweli Anna alikuwa mkali, mtoto black beauty, licha ya unene lakini hakuwa na matiti makubwa; matiti yake yalikuwa kama puto dogo lililopulizwa, matiti yalijaa vizuri! Tuache ubishi madem hawafanani; hapa duniani kuna madem wakali bwana weee!


“Leo nitafaidi sana, ina maana mashine yangu itazama kwenye kitumbua cha huyu dem? Itazama kwenye haya matako? Kudaadeq leo nitatoa kitomb* ambacho sijawahi kutoa tangu dunia izaliwe, huyu leo nitamkojolesha mikojo ya kila aina” Niliwaza nikiwa nimesimama pembeni ya godoro, yeye hata hakuniona, alikuwa bize akitazama X videos kwenye simu yake. 


Kuhusu mashine tu aisee nilibarikiwa, nilikuwa na dudu kubwa kinoma, likilala linakuwa kama tango; alafu likisimama linakuwa kama la punda, msumari nilijaaliwa. Nilivua nguo zangu zote kisha nilipanda kitandani, mara nyingi nikiwaga mtaani nikiona mtoto mkali ni lazima mashine  isimame, lakini ajabu ni kwamba muda huo nilikuwa na dem mkali lakini mashine ililala, mbaya zaidi licha ya kumtamani lakini sikupata hisia zozote, nilianza kupagawa.

 

Hata hivyo sikujali wala nini, nilijua lazima itasimama tu. nilikamata suruali yake kisha niliivuta kuelekea chini, aligeuka alinitazama kisha alitabasam kuniona; alifurahi kwa sababu alikuwa ananisubiri mimi, pia alikuwa anaamini kuwa siku hiyo atapewa kitombo cha kueleweka. Nilimaliza kumvua suruali yake niliitupia pembeni, sikutaka kumuondoa chupi, nilimtanua mapaja kidogo, akiwa bado amelala kifudifudi niliupitisha ulimi wangu katikati ya makalio yake, ulimi ulienda kugusa kitumbua chake, niliukoroga kidogo tu nilimuona akianza kuweweseka! Mara alipandisha kalio juu ili ulimi uzame wote, alianza kujishika matiti yake kisha aliyabinya kwa hisia kali, macho yake yalianza kubadilika yalikuwa mekunduuu! Niliendelea kunyonya K yake, nilifanya kama naitafuna, nilikusanya nyama za kicm na mashavu ya K kisha niliyafinyanga kwa spidi kali, alimwaga ute na uji mwingi! 


“Ooooohpss asanteee! Aaah jamani unajua Sele… sijawahi kufanyiwa mambo haya na mume wangu! Naomba usinichelewesha mpenzi, nina nyege kali sana, nahisi nikisuguliwa kwa dakika mbili tu nitakojoaa…Seleeeee”

“Naam”

“Nichomeke duduu!! Zamisha duduu!! Nisugueee mpenziii… oooh jamaniiiii natamani kulimwaga kojoooooooo….Utieee msumari huo haraka nataka kukojoaaaa”


Ana makelele kinoma, pia ana nyege za ajabu sana, tayari alilowanisha mashuka yote, shuka zililowana tepwetepwe, kwakuwa alinisisitiza nimuingize dudu niliona ngoja nimpe mashine. Nilinyosha mkono nikitaka kulikamata dudu langu ili nichomeke, nilipagawa baada ya kukuta mashine haijasimama.


 GUSA HAPA KUENDELEA KUSOMA HADITHI HII.....